Sisi ni nani?
SSE Family Company Limited ni kampuni iliyopata usajili kupitia BRELA na kupata leseni ya biashara ya matumizi ya TEHEMA. Ofisi zetu zipo Songea Manispaa, Mkoa wa Ruvuma na kutoa huduma kwa wateja wetu popote walipo katika nchi ya Tanzania. Tunatoa huduma ya matumizi ya mifumo ya TEHAMA katika shughuli za uhasibu, usimamizi wa bidhaa au duka, utunzaji wa nyaraka na usimamizi wa ofisi kwa ujumla. Mifumo yetu ni rahisi kwa watumiaji wenye uzoefu mdogo au wasio na uzeofu kabisa katika matumizi ya TEHAMA na kufanya wateja hao kufurahia mifumo hiyo pasipo taabu yoyote.

Wateja wetu wakiwa katika mafunzo ya vitendo ya watumizi ya mfumo wa utunzaji na utoaji wa taarifa za uhasibu …

Watoa huduma wetu wakitoa shukrani kwa wateja wetu baada ya mafunzo ya matumizi ya mifumo yetu …
SSE Family
Songea Town Council SACCOS Ltd Building,
Plot No. 89 V, Room 001, Majengo Kotazi,
Sokoine Road, Songea MC, Ruvuma, Tanzania
Proudly powered by WordPress
